Namna ya kuuza bitcoin zako kwa haraka zaidi!!

official bitcoin news site from Tanzania

Saturday, December 24, 2016

Namna ya kuuza bitcoin zako kwa haraka zaidi!!


Nakutambulisha katika online bitcoin wallet inayoitwa Remitano

 kupitia hii wallet unaweza kuuza au kununua bitcoin kwa urahisi zaidi.

Na pia unaweza kuhifadhi bitcoin kwa usalama zaidi.

 

Ni rahisi kutumia 

1. Bonyeza hapo chini kujiunga

↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓

REGISTER 

 

utakutana na kitu kama hiki

then utaclick hiyo mistari mitatu hapo juu kulia

itatokea hivii






utaclick register kwa kujaza email yako.

kisha utaingia inbox nakuona log in details utaclick kuifuata unakurudi kwenye page ya remitano

then utaweka username yako hapo baada ya hapo utakuwa tayari umejisajili.

2. kupata adress yako ya kupokelea bitcoin pale mtu atakapo taka kukutumia btc (hii ni sawa na namba yako ya simu)


utaclick hapo deposit - withdraw btc
kama unatumia simu itatokea hivi ukiclick menu




kisha ukiclick hapo deposit- withdraw btc


  sasa hiyo number hapo juu inayoanzia na 12E ndio mfano wa adress


ukishinda whatsapp me kwa maelezo zaidi 0713774746

 
Share :
Facebook Twitter Google+

1 comments:

Write comments
Anonymous
ADMIN

YouTube: Videos by Real Monsters | VideoDl.cc
Videos from Real Monsters, including the movie and TV series of youtube to mp4 popular series. See the trailers, videos, features and how to watch.

Reply
avatar

 
Back To Top