Fahamu kuhusu Bitcoin na njia za kutengenezea pesa

official bitcoin news site from Tanzania

Thursday, December 22, 2016

Fahamu kuhusu Bitcoin na njia za kutengenezea pesa

Bitcoin ni sarafu au pesa inayotumika (online) mtandaoni na ndio pesa yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa 

leo 1 btc ni sawa na 2,000,000/= (iliandikwa tarehe 22/12/2016)

leo tarehe 29/10/2017  1 btc ni sawa na mil 13,000,000/=

Pia ni mfumo wa kisasa wa utakaokuwezesha kufanya malipo mtandaoni kwa uraisi zaidi

Imeanza toka 2009 iligunduliwa na kikundi cha wataalamu wa komputa wakiongozwa na Satoshi Nakomoto.

 baada ya ugunduzi wakatoa trick walizotumia kutengeneza bitcoin ili dunia nzima iweze kutumia hizo trick kutengenea sarafu ya bitcoin.

hivyo bitcoin sio kampuni wala haimilikiwi na mtu yeyote au nchi yoyote.

 na hii inafanya malipo ya bitcoin kuwa rahisi sana kwa sababu serikali haiwezi 

kucontrol malipo hayo ni tuma nikutumie tu mwanawane !!!!


Je Bitcoin kama ni sarafu inatengenezwaje?

Tujikumbushe tu: mfano pesa zetu za Tanzania zinatengenewaje...?  kwa haraka 

tu itahitaji raw materials, inahitaji mitambo itahitaji wafanyakazi na maximum 

security ili at the end tuweze kupata pesa hiyo hivyo serikali inatumia pesa mfano 

millioni 1 ili iweze kupata mil 1.5... faida ya laki tano huo ni mfano tu.

sasa na Bitcoin haina utofauti sana ingawa yenyewe ni mfumo wa namba kutoka 

kwenye komputa...

unahitaji kuwa na very big super computers, uwe na wataalamu bora wa IT nk ili uweze kutengeneza bitcoin na kisha ikishapatikana bitcoin lazima iingizwe kwenye mfumo ambao utakubalika kimataifa

ambao hutumia mitambo maalumu kuweza kufanikisha hicho kitu hivyo kufanya 

watu wachache sana kuwa wana uwezo wa kumiliki mgodi/shamba la kutengeneza bitcoin kwa sababu mtaji wake ni mkubwa sana.

 kama ilivyo kwenye mitambo ya kusafishia mafuta ya magari.

vipi kuhusu hizo bitcoin zinahifadhiwa wapi na zinatumwaje??

 Bitcoin zinahifadhiwa katika online wallet na kila wallet ya mtu inakuwa na address yake.

zipo website nyingi ambazo ni nzuri kuhifadhi btc zako moja wapo ambayo 

inatumika sana Tanzania ni localbitcoin

Screenshot ya  wallet ikionesha mfano wa adress na btc zilizopo

hivyo ukitaka kutuma inakuwa rahisi sana kumpa mtu adress yako ya wallet ili akutumie au kuchukua adress ya mtu mwingine ili umtumie Bitcoin (btc)

lakini pia faida ya kuwatumia hawa local bitcoin ni trusted site lakini pia 

unaweza kuuza na kununua bitcoin kupitia mawakala tofauti wa hiyo local 

bitcoin kwa njia ya online au kwa njia ya cash ya kukutana na mtu aliyekaribu 

na wewe ndio mana imeitwa local!!!!!!

Hakikisha site utakazotumia katika mambo ya pesa ziwe secured and trusted 

unaweza ukajua kwa kuangalia mfano huu

unaona pale juu kuna kufuli la kijani na pia jina la site limeanza na Https ikiwa na low security inakuwa inaanza na HTTP

Moja ya hasara ya bitcoin ni mtu kutokuwa muangalifu.... ukituma pesa zako 

hakikisha adress yako ni sawa mara nyingi huanza na "1............." au "3........."

Fursa za Sarafu ya Bitcoin.

kabla sijaendelea nikuwekee website muhimu utakazoweza kujisomea na kuelewa 

zaidi kuhusu Bitcoin.

1. official website ya bitcoin ni hii   https://bitcoin.org/en/

2. https://en.wikipedia.org/wiki/Bitcoin

sasa tuendelee na Fursa au faida za bitcoin

1.  Unaweza kutumia kufanyia malipo kwenye website mbali mbali kwa urahisi zaidi

unaweza kuingia hapa list ya kampuni zinazopokea sarafu ya bitcoin kama njia ya malipo

pia nchi zilizoendelea zote zina ATM za bitcoin hivyo ni rahisi kuitumia


  2.ununuzi wa bitcoin

 Unaweza ukaamua leo ukanunua bitcoin zako kama kumi tu kwa dola 700 ukazihifadhi katika wallet zako kisha baada ya miezi mitatu ukasikia bitcoin inathamani ya dola 1000 utatengeneza faida nzuri sana.


3. Wakala wa bitcoin

unaweza kuwa wakala wa bitcoin wa kufanya exchange kama ilivyo mawakala wa dola ananunua dola 2000 anauza 2200 wakati exchange rate ni 2100.

4. uwekezezaji katika kampuni tofauti zinazotumia na kutengeneza bitcoin

unaweza kuwekeza katika kampuni zinazotengeneza bitcoin (bitcoin mining pool)

kwa kuwekeza katika hiyo kampuni kisha kila siku ili pesa inavyopelekwa kutengeneza faida hupata faida ya (10 % -15%) hivyo hulipa wale waliochangia pesa ya mtaji kwa asilimia 3 mpaka 7 kama faida kila siku.

kama nilivyoeleza mwanzo kuweza kutengeneza bitcoin ni gharama sana.

 maelezo muhimu kutoka wikipedia yakielezea mining pool kama ulikuwa unawoga au hujawahi kuinvest nakushauri weka pesa yako katika kampuni za muundo huu hazina tatizo lolote.

screenshot kutoka wikipedia

 NAFIKIRI MPAKA HAPO UTAKUWA UMEELEWA VIZURI KUHUSU BITCOIN NA NAMNA GANI UNAWEZA TENGENEZA PESA KUPITIA BITCOIN.

SaSa Tuanze kulezea faida moja moja leo tutaanza na faida ya kuwekeza na kampuni nitakayoilezea ni 


 

 

itaendelea kwa maelezo zaidi piga hapa 0713 77 47 46

Share :
Facebook Twitter Google+

1 comments:

Write comments

Habari,naomba kujua kama naweza kupata mtu wa kunisaidia kuwekeza au kufanya bitcoin.Tafadhari

Reply
avatar

 
Back To Top